IQNA--Leo tarehe 13 mwezi Rajab, ni siku ya kukumbuka kuzaliwa Amirul Muuminin, Imam Ali bin Abi Twalib (AS) ambapo katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaadhimishwa pia kama Siku ya Baba.
Habari ID: 3480053 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/14
Ahlul Bayt AS
TEHRAN (IQNA)- Tarehe 13 Rajab mwaka wa 30 Amul Fil, kulitokea tukio kubwa na la kushangaza ambalo lilikuwa halijawahi kutokea na halitatokea tena katika historia ya mwanadamu. Hii ilikuwa tarehe ya kuzaliwa Imam Ali AS katika Nyumba ya Mwenyezi Mungu, al-Kaaba.
Habari ID: 3480051 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/14
TEHRAN (IQNA)-Tuko katika siku ya kukumbuka siku ya kuzaliwa Imam Ali bin Abi Talib AS. Siku hii kwa hapa nchini Iran inajulikana pia kwa jina la Siku ya Baba.
Habari ID: 3470930 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/11